myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukivumilia, unaonekana huna pakwenda, Ukienda unaonekana umeshindwa kuvumilia.At the end of the day Tafuta furaha yako
Ukivumilia, unaonekana huna pakwenda, Ukienda unaonekana umeshindwa kuvumilia.At the end of the day Tafuta furaha yako
Huwezi kumlaumu Shetani kwa matendo yako, sababu siku ya hukumu atasema.... "Sina mamlaka juu yako, nilikuingia na ukatii, usinilaumu jilaumu mwenyewe
Usijisikie vibaya ikiwa mtu atakukataa, watu kawaida hukataa vitu vya gharama kubwa kwa sababu hawawezi kumudu
👍👍Njia ya haraka sana ya kuharibu na kupoteza ndoto zako ni kujilinganisha na watu wengine.
Muhimu sanaUsijisikie vibaya ikiwa mtu atakukataa, watu kawaida hukataa vitu vya gharama kubwa kwa sababu hawawezi kumudu