moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ndani ya mafanikio kuna siri kubwa sana, moja ya siri ni KUWA MSIRI.

Kama unaogopa Kuchukiwa Basi Hustahili Kufanikiwa, Kwa sababu Kivyovyote vile Hakuna maendeleo yasiyo na Chuki

Ajabu ya mwaka
Kama huwezi kuandika Furaha ya Mtu, Basi Jaribu kuwa Kifutio ili Kuondoa Huzuni zake
Anakupenda sio kama haoni wengine bali ni heshima na thamani ameamua kukupa wewe, Mpe thamani na upendo na sio dharau
kuna maumivu makubwa ndani ya neno "Niko sawa" Kuna Siri kubwa ndani ya neno "Yaishe" Kuna uongo mkubwa ndani ya neno "Nakupenda" kuna ukweli mwingi ndani ya neno "Natania" Kuna Faraja kubwa ndani ya neno "Nisamehe"

Geuza maono yako kuwa vitendo, juhudi zako kuwa matokeo, Na mafanikio yatakuwa zawadi yako