Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Siku akili ikikomaa ukagundua umri unasogea na huna mafanikio yoyote kwenye maisha utaacha kusherehea birthday yako na kusahau kabisa kama ulizaliwa badala yake ikifika siku hiyo utakuwa na stress tu.