myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Yape maisha yako ladha bora, fungua akili, jifunze mambo mapya.
Usisite kujifunza vitu vipya, maisha yanachosha kurudia vitu ulivyozoea
πππSehemu ya makuzi ni kujifunza.
Maisha husinyaa usipojipa nafasi ya kukua.
πππSehemu ya makuzi ni kujifunza.
Kuna wanaozaliwa bila thamani. Tabia na hulka zao pekee zinaweza kuwapandisha
Mafanikio ya taratibu hujenga unyenyekevu.
Mafanikio ya taratibu hujenga unyenyekevu.
Mafanikio ya ghafla hujenga kiburi
SawasawaMafanikio ya ghafla hujenga kiburi
πππKuna wanaozaliwa na thamani. Tabia na hulka zao pekee zinaweza kuwashusha
βοΈβοΈβοΈKuna wanaozaliwa bila thamani. Tabia na hulka zao pekee zinaweza kuwapandisha
Mafanikio ya taratibu hujenga unyenyekevu.
Hadi pale mlango mwingine utakapofunguka, jitahidi kutimiza wajibu wako mahali ulipo.
Pambana na changamoto zako, jifunze ili ufikie malengo yako haraka
Usiharakishe kufungua milango mingine wakati hujamaliza kazi muhimu kwa ngazi uliyopo.
β οΈβ οΈβ οΈPambana na changamoto zako, jifunze ili ufikie malengo yako haraka
βοΈβοΈβοΈKukimbia changamoto hakusaidii.