myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Usiruhusu furaha yako itegemee kitu ambacho huna
Panapofuka moshi ndio patakapowaka moto.
Utakapogundua mabadiliko tofauti na mwanzo sehemu yoyote ile,basi huo ndio muda sahihi wa wewe kuanza kuwa tayari kwa lolote litakalo tokea hapo mbeleni
Panapofuka moshi ndio patakapowaka moto.
Utakapogundua mabadiliko tofauti na mwanzo sehemu yoyote ile,basi huo ndio muda sahihi wa wewe kuanza kuwa tayari kwa lolote litakalo tokea hapo mbeleni
NakubalianaMisingi yako uliyojitengenezea.
Hakikisha wewe sio sehemu ya kuibomoa.
SawaUjana Usitufanye Tuone Kama Kumwabudu Mungu Ni Ushamba Na Kupoteza Muda
✔️✔️✔️Ukitaka kupata heshima, jitahidi sana kutafuta pesa ndio kitu pekee hutengeneza heshima.
📌📌📌Moja ya kipimo cha utu uzima ni uwezo wa kuvumilia aibu ya leo ili kuepuka fedheha ya kesho."
✅️✅️✅️Misingi yako uliyojitengenezea.
Hakikisha wewe sio sehemu ya kuibomoa.
✔️✔️✔️Moja ya kipimo cha utu uzima ni uwezo wa kuvumilia aibu ya leo ili kuepuka fedheha ya kesho."
Ujana Usitufanye Tuone Kama Kumwabudu Mungu Ni Ushamba Na Kupoteza Muda