myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SawaFanya vitu vifuatavyo ukiwa unajitafuta kimaisha.
1. Acha kulaumu wengine.
2. Acha uvivu.
3. Acha wivu.
4. Toa shukrani.
5. Wajibika.
β οΈβ οΈβ οΈMhubiri 5:18
Tazama, mimi niliyoyaona kuwa ndiyo mema na ya kufaa, ni mtu kula na kunywa, na kujiburudisha kwa mema katika kazi yake yote anayoifanya chini ya jua, siku zote za maisha yake alizopewa na Mungu; maana hilo ndilo fungu lake.
ππMhubiri 5:18

βοΈβοΈMhubiri 5:18

ππMjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.
Ayubu 22:21
ππMhubiri 5:18
Tazama, mimi niliyoyaona kuwa ndiyo mema na ya kufaa, ni mtu kula na kunywa, na kujiburudisha kwa mema katika kazi yake yote anayoifanya chini ya jua, siku zote za maisha yake alizopewa na Mungu; maana hilo ndilo fungu lake.
ππMaamuzi juu ya fedha inayopita mikononi mwako yaweza kukufanya uwe tajiri au masikini"
Fanya vitu vifuatavyo ukiwa unajitafuta kimaisha.
1. Acha kulaumu wengine.
2. Acha uvivu.
3. Acha wivu.
4. Toa shukrani.
5. Wajibika.
β οΈβ οΈβ οΈUkizijua hustle zako, utaelewa unahitaji kuwa peke yako kwenye mapambano yako
Fanya vitu vifuatavyo ukiwa unajitafuta kimaisha.
1. Acha kulaumu wengine.
2. Acha uvivu.
3. Acha wivu.
4. Toa shukrani.
5. Wajibika.
Ukizijua hustle zako, utaelewa unahitaji kuwa peke yako kwenye mapambano yako
Punguza kujielezea sana.
Punguza kutangaza shida zako.
Punguza kujionea huruma.
Punguza kutiatia huruma mbele za watu.
Kila mja unaemwona ana shida zake.
Usijilemaze kwa kudhani wewe ndio unashida pekee.
WAJIBIKA.
CHUKUA SHERIA MKONONI JUU YA MAISHA YAKO.
Kuishi Maisha yenye Furaha yasikufanye Usahau IBADA.
Punguza kujielezea sana.
Punguza kutangaza shida zako.
Punguza kujionea huruma.
Punguza kutiatia huruma mbele za watu.
Kila mja unaemwona ana shida zake.
Usijilemaze kwa kudhani wewe ndio unashida pekee.
WAJIBIKA.
CHUKUA SHERIA MKONONI JUU YA MAISHA YAKO.
ππSiku akili ikikomaa ukagundua umri unasogea na huna mafanikio yoyote kwenye maisha utaacha kusherehea birthday yako na kusahau kabisa kama ulizaliwa badala yake ikifika siku hiyo utakuwa na stress tu.
SALI sana Kuna Watu Kuanguka Kwako Ni Moja Ya MAOMBI Yao
ππKatika maisha, utagombana na watu ambao hukuwahi kufikiria ungeweza kugombana nao. Utasalitiwa na watu uliowaamini kwa moyo wako wote na kutumiwa na watu ambao ungeweza kuwafanyia lolote. Maisha lazima yaendelee