Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NAKUBALIANA NA WEWE
Punguza kujielezea sana.
Punguza kutangaza shida zako.
Punguza kujionea huruma.
Punguza kutiatia huruma mbele za watu.

Kila mja unaemwona ana shida zake.

Usijilemaze kwa kudhani wewe ndio unashida pekee.

WAJIBIKA.

CHUKUA SHERIA MKONONI JUU YA MAISHA YAKO.
 
Back
Top Bottom