Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kuwa na akili sana kuna faida & hasara. Faida ni unafanya vitu na mara nyingi vinafanikiwa, hasara ni hufanyi vitu mpaka uwe na uhakika wa kufanikiwa, mwisho wa siku unapoteza nafasi nyingi kwa uwoga. Utafanikiwa zaidi ukiwa na akili ya kujua wakati gani akili inakurudisha nyuma