Maumivu yasikufanye ujione kama hausatahili kuwa hapa duniani, wewe ni mtu mzuri na dunia bado inakudai,futa machozi na uinuke huku ukisonga mbele, furaha yako ipo karibuni
Maumivu yasikufanye ujione kama haustahili kuwa hapa duniani, wewe ni mtu mzuri na dunia bado inakudai,futa machozi na uinuke huku ukisonga mbele, furaha yako ipo karibuni

Mawazo yako, maamuzi yako, tabia yako na mienendo ya maisha yako ya kila siku yanaathiriwa na mazingira yanayokuzunguka na watu unaoshinda nao. Hivyo basi ukitaka kubadilika na kuwa mtu mpya badilisha mazingira, badilisha watu unaoshinda nao na namna unavyotazama maisha yako

Unapotaka kulala jiambie "Siku imeisha na nashkuru kwa kila kitu kuhusu leo, nafurahia nyakati zote zilizonipa tabasamu, nasamahe kila aina ya makwazo niliyosababishiwa na watu, na pia najifunza kutokana na makosa na changamoto za leo, kesho nayo ni siku nitakuwa Bora zaidi
Unapotaka kulala jiambie "Siku imeisha na nashukuru kwa kila kitu kuhusu leo, nafurahia nyakati zote zilizonipa tabasamu, nasamahe kila aina ya makwazo niliyosababishiwa na watu, na pia najifunza kutokana na makosa na changamoto za leo, kesho nayo ni siku nitakuwa Bora zaidi
Unapotaka kulala jiambie "Siku imeisha na nashkuru kwa kila kitu kuhusu leo, nafurahia nyakati zote zilizonipa tabasamu, nasamahe kila aina ya makwazo niliyosababishiwa na watu, na pia najifunza kutokana na makosa na changamoto za leo, kesho nayo ni siku nitakuwa Bora zaidi
Unapotaka kulala jiambie "Siku imeisha na nashkuru kwa kila kitu kuhusu leo, nafurahia nyakati zote zilizonipa tabasamu, nasamahe kila aina ya makwazo niliyosababishiwa na watu, na pia najifunza kutokana na makosa na changamoto za leo, kesho nayo ni siku nitakuwa Bora zaidi
Unapotaka kulala jiambie "Siku imeisha na nashkuru kwa kila kitu kuhusu leo, nafurahia nyakati zote zilizonipa tabasamu, nasamahe kila aina ya makwazo niliyosababishiwa na watu, na pia najifunza kutokana na makosa na changamoto za leo, kesho nayo ni siku nitakuwa Bora zaidi
Kila siku unapoamka shukuru kwanza kisha jiambie " Leo ni siku mpya nina kila sababu ya kuifurahia na kupambania fursa za siku hii, sikati tamaa na wala sirudi nyuma, nitaendelea kupambana kwa kukabiliana na kila vikwazo mbele yangu

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.