Kuwa na akili sana kuna faida & hasara. Faida ni unafanya vitu na mara nyingi vinafanikiwa, hasara ni hufanyi vitu mpaka uwe na uhakika wa kufanikiwa, mwisho wa siku unapoteza nafasi nyingi kwa uwoga. Utafanikiwa zaidi ukiwa na akili ya kujua wakati gani akili inakurudisha nyuma

Kikubwa uwapo kazini ni nidhamu na utulivu wa akili, endapo likitokea jambo kama hilo ni vyema kulitatua kwa nidhamu bila mafarakano yoyote, pia kutafuta sababu ya huo mgogoro

Ukiwa bado unapumua, unaafya njema na akili timamu hautakiwi kukata tamaa
1.Nyakati ngumu zikija kwako zifanye kama shule inayokujenga na kukuimarisha ili kuja kuwa mtu shupavu na imara kwenye maisha yako ya kila siku, na usichukulie matatizo kama laana.

Tatizo la afya ya akili linatafuna watu wengi sana, Vyanzo vikuu ni ukosefu wa fedha, Hii ni sababu ya kuwekeana ugumu kila sekta, chanzo kingine ni mapenzi Hii ni kulazimisha kupenda usipo pendwa, Ama kumpenda mtu ambaya Haendani na kipato chako.