Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli kabisa
Ndugu, Jamaa Na Marafiki Wanaweza Kupanda Ndege Au Kuendesha Magari Yao Kutoka Umbali Mrefu Sana Kuja Kukuzika Lakini Hao Hao Hawawezi Kuja Kukusaidia Wakati Unawahitaji Msaada Wao Hata Kama Wanakaa Mtaa Wa Pili Kutoka Unapoishi…
 
βœ”οΈβœ”οΈ
Kuwa na utulivu wa moyo. Ukipoteza utulivu wa moyo kwasababu ya hasira, umemkosea Mungu, umewaudhi wengine, umejihangaisha mwenyewe, na mwishowe itakupasa kuutafuta tena utulivu wa moyo. Linda sana moyo wako, maana ndiko zitokako chemchemi za uzima
 
βœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈ
Ndugu, Jamaa Na Marafiki Wanaweza Kupanda Ndege Au Kuendesha Magari Yao Kutoka Umbali Mrefu Sana Kuja Kukuzika Lakini Hao Hao Hawawezi Kuja Kukusaidia Wakati Unawahitaji Msaada Wao Hata Kama Wanakaa Mtaa Wa Pili Kutoka Unapoishi…
 
βœ”οΈβœ”οΈ
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…