myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Utulivu wa akili na moyo ni nguzo zote muhimu, lakini bila maadili na heshima, vyote havina maana. Mahusiano yanastawi pale ambapo misingi yake ni hekima na uadilifu
Kuwa na akili sana kuna faida & hasara. Faida ni unafanya vitu na mara nyingi vinafanikiwa, hasara ni hufanyi vitu mpaka uwe na uhakika wa kufanikiwa, mwisho wa siku unapoteza nafasi nyingi kwa uwoga. Utafanikiwa zaidi ukiwa na akili ya kujua wakati gani akili inakurudisha nyuma
Ukiwa bado unapumua, unaafya njema na akili timamu hautakiwi kukata tamaa
1.Nyakati ngumu zikija kwako zifanye kama shule inayokujenga na kukuimarisha ili kuja kuwa mtu shupavu na imara kwenye maisha yako ya kila siku, na usichukulie matatizo kama laana.
Nakubaliana na weweUkiwa bado unapumua, unaafya njema na akili timamu hautakiwi kukata tamaa
1.Nyakati ngumu zikija kwako zifanye kama shule inayokujenga na kukuimarisha ili kuja kuwa mtu shupavu na imara kwenye maisha yako ya kila siku, na usichukulie matatizo kama laana.
βοΈβοΈβοΈMaumivu ya moyo na giza lake yanaweza kukuongezea mwanga na maarifa kwenye ubongo kwa sababu maumivu mengi hubeba ukweli na ukweli ni mwanga
β οΈβ οΈβ οΈKikubwa uwapo kazini ni nidhamu na utulivu wa akili, endapo likitokea jambo kama hilo ni vyema kulitatua kwa nidhamu bila mafarakano yoyote, pia kutafuta sababu ya huo mgogoro
Kikubwa uwapo kazini ni nidhamu na utulivu wa akili, endapo likitokea jambo kama hilo ni vyema kulitatua kwa nidhamu bila mafarakano yoyote, pia kutafuta sababu ya huo mgogoro
AiseeTatizo la afya ya akili linatafuna watu wengi sana, Vyanzo vikuu ni ukosefu wa fedha, Hii ni sababu ya kuwekeana ugumu kila sekta, chanzo kingine ni mapenzi Hii ni kulazimisha kupenda usipo pendwa, Ama kumpenda mtu ambaya Haendani na kipato chako.
Kukatishwa tamaa kusikufanye uwe mdhaifu na urudi nyuma, wengi wanaokatisha tamaa wenzao ni watu walioshindwa hivyo Usiwasikilize endelea kupambana
Kukatishwa tamaa kusikufanye uwe mdhaifu na urudi nyuma, wengi wanaokatisha tamaa wenzao ni watu walioshindwa hivyo Usiwasikilize endelea kupambana
SawasawaUsikae na vitu moyoni, tafuta wa kuzungumza nae ili utue mzigo na upate nguvu ya kuendelea kupambana
ππKukosa leo haimaanishi utakosa na kesho, na hata ukikosa kesho basi kuna keshokutwa ipo kwaajili yako, ipo siku utapata
πππHata kama unapitia hali ngumu kiasi gani usiache kujijali, matatizo yanapita basi jijali yasipite na wewe. kula vizuri, oga, pendeza, lala vizuri japo masaa 7, fanya mazoezi
β οΈHata kama unapitia hali ngumu kiasi gani usiache kujijali, matatizo yanapita basi jijali yasipite na wewe. kula vizuri, oga, pendeza, lala vizuri japo masaa 7, fanya mazoezi
Sawa kabisaKukatishwa tamaa kusikufanye uwe mdhaifu na urudi nyuma, wengi wanaokatisha tamaa wenzao ni watu walioshindwa hivyo Usiwasikilize endelea kupambana
Muhimu sanaUnapotaka kulala jiambie "Siku imeisha na nashkuru kwa kila kitu kuhusu leo, nafurahia nyakati zote zilizonipa tabasamu, nasamahe kila aina ya makwazo niliyosababishiwa na watu, na pia najifunza kutokana na makosa na changamoto za leo, kesho nayo ni siku nitakuwa Bora zaidi
Mawazo yako, maamuzi yako, tabia yako na mienendo ya maisha yako ya kila siku yanaathiriwa na mazingira yanayokuzunguka na watu unaoshinda nao. Hivyo basi ukitaka kubadilika na kuwa mtu mpya badilisha mazingira, badilisha watu unaoshinda nao na namna unavyotazama maisha yako
Maumivu yasikufanye ujione kama haustahili kuwa hapa duniani, wewe ni mtu mzuri na dunia bado inakudai,futa machozi na uinuke huku ukisonga mbele, furaha yako ipo karibuni
ππMaisha ni haya haya hata ukipata kidogo furahi,na hakikisha unajifurahia wewe mwenyewe kwa jinsi ulivyo
Kukatishwa tamaa kusikufanye uwe mdhaifu na urudi nyuma, wengi wanaokatisha tamaa wenzao ni watu walioshindwa hivyo Usiwasikilize endelea kupambana