Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ujumbe wa maana
Kuwa na akili sana kuna faida & hasara. Faida ni unafanya vitu na mara nyingi vinafanikiwa, hasara ni hufanyi vitu mpaka uwe na uhakika wa kufanikiwa, mwisho wa siku unapoteza nafasi nyingi kwa uwoga. Utafanikiwa zaidi ukiwa na akili ya kujua wakati gani akili inakurudisha nyuma
 
Unapotaka kulala jiambie "Siku imeisha na nashkuru kwa kila kitu kuhusu leo, nafurahia nyakati zote zilizonipa tabasamu, nasamahe kila aina ya makwazo niliyosababishiwa na watu, na pia najifunza kutokana na makosa na changamoto za leo, kesho nayo ni siku nitakuwa Bora zaidi
Muhimu sana
 
📌📌
Mawazo yako, maamuzi yako, tabia yako na mienendo ya maisha yako ya kila siku yanaathiriwa na mazingira yanayokuzunguka na watu unaoshinda nao. Hivyo basi ukitaka kubadilika na kuwa mtu mpya badilisha mazingira, badilisha watu unaoshinda nao na namna unavyotazama maisha yako
 
Back
Top Bottom