myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Unapotaka kulala jiambie "Siku imeisha na nashkuru kwa kila kitu kuhusu leo, nafurahia nyakati zote zilizonipa tabasamu, nasamahe kila aina ya makwazo niliyosababishiwa na watu, na pia najifunza kutokana na makosa na changamoto za leo, kesho nayo ni siku nitakuwa Bora zaidi
Kama bado haujajipata basi usichoke kujitafuta, na ukiwa unaona kama unataka kukata tamaa basi fikiria kwanini uliamua kuanza
Kama bado haujajipata basi usichoke kujitafuta, na ukiwa unaona kama unataka kukata tamaa basi fikiria kwanini uliamua kuanza
Maisha ni yako wala sio ya watu wengine, kila unachofanya fanya kwaajili yako na hakikisha unafurahia unachokifanya ili usiumizwe na ulivyovikosa
Maisha ni yako wala sio ya watu wengine, kila unachofanya fanya kwaajili yako na hakikisha unafurahia unachokifanya ili usiumizwe na ulivyovikosa
✅️✅️✅️Maisha ni yako wala sio ya watu wengine, kila unachofanya fanya kwaajili yako na hakikisha unafurahia unachokifanya ili usiumizwe na ulivyovikosa
Kila siku unapoamka shukuru kwanza kisha jiambie " Leo ni siku mpya nina kila sababu ya kuifurahia na kupambania fursa za siku hii, sikati tamaa na wala sirudi nyuma, nitaendelea kupambana kwa kukabiliana na kila vikwazo mbele yangu

"Ni vigumu kukaribisha katika maisha yako elimu na maarifa mapya ikiwa unakumbatia kwa wivu mkubwa elimu na maarifa uliyokuwa nayo tayari. Si wakati wote kujifunza ni kuongeza elimu au maarifa, wakati mwingine kujifunza ni kupoteza au kufuta ulichowahi kukijua kabla.
Akili ni kama malighafi, inanguvu kuliko fedha, kwa sababu, akili ni chanzo cha fedha, panapo akili fedha hufuata hata kama kwa kuchelewa.
Akili ni kama uzuri wa sura. Unaweza kujiona unazo na ukaambiwa huna, unaweza kuwa nazo na ukafika sehemu ukakuta wengine wamezidisha viwango. Unazo na hauna kulingana na ulipo, akili zina rejesta.
NUKUU YA LEO: "Tofauti kati ya akili na ujinga ni kuwa akili ina kikomo lakini ujinga hauna kikomo.”
Akili ni kama uzuri wa sura. Unaweza kujiona unazo na ukaambiwa huna, unaweza kuwa nazo na ukafika sehemu ukakuta wengine wamezidisha viwango. Unazo na hauna kulingana na ulipo, akili zina rejesta.
✔️✔️Kwanza katika kufanya majambo yako kinacho hitajika ni utulivu wa akili mengiine yatakuja Kwa utulivu pia
ili kuzifikia ndoto zetu maisha yanahitaji utulivu wa akili na moyo
Unaruhusiwa kuota, kutumaini, na kuamini katika siku bora. Kuwa na subira na nafsi yako, samehe makosa yako, na songa mbele. Maisha unayoyatamani yanawezekana—lakini yanaanza kwa kujichagua wewe mwenyewe. Unastahili furaha, upendo, na utulivu wa akili.
Ukipata nafasi Ya Kutafuta hela , Pambana uipate , Muombe Mungu pia katika kuitafuta akupe busara na utulivu wa akili na nafsi , ili uweze kukimbiza mitikasi zako vizuri sana
Umaskini sio sifa , Unadhalilisha sana
AiseeUnaruhusiwa kuota, kutumaini, na kuamini katika siku bora. Kuwa na subira na nafsi yako, samehe makosa yako, na songa mbele. Maisha unayoyatamani yanawezekana—lakini yanaanza kwa kujichagua wewe mwenyewe. Unastahili furaha, upendo, na utulivu wa akili.
📌📌Unaruhusiwa kuota, kutumaini, na kuamini katika siku bora. Kuwa na subira na nafsi yako, samehe makosa yako, na songa mbele. Maisha unayoyatamani yanawezekana—lakini yanaanza kwa kujichagua wewe mwenyewe. Unastahili furaha, upendo, na utulivu wa akili.