Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

📌📌
Unapotaka kulala jiambie "Siku imeisha na nashkuru kwa kila kitu kuhusu leo, nafurahia nyakati zote zilizonipa tabasamu, nasamahe kila aina ya makwazo niliyosababishiwa na watu, na pia najifunza kutokana na makosa na changamoto za leo, kesho nayo ni siku nitakuwa Bora zaidi
 
NAKUBALI
"Ni vigumu kukaribisha katika maisha yako elimu na maarifa mapya ikiwa unakumbatia kwa wivu mkubwa elimu na maarifa uliyokuwa nayo tayari. Si wakati wote kujifunza ni kuongeza elimu au maarifa, wakati mwingine kujifunza ni kupoteza au kufuta ulichowahi kukijua kabla.
 
Utulivu wa akili
Unaruhusiwa kuota, kutumaini, na kuamini katika siku bora. Kuwa na subira na nafsi yako, samehe makosa yako, na songa mbele. Maisha unayoyatamani yanawezekana—lakini yanaanza kwa kujichagua wewe mwenyewe. Unastahili furaha, upendo, na utulivu wa akili.
 
Back
Top Bottom