myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Uishi vizuri na
walimwengu
walimwengu
Kuna ile kauli inasema ishi na watu vizuri iheshimu sana."

Baadhi ya watu hawakupendi kwa sababu nguvu zako zinawakumbusha udhaifu wao, Usiruhusu chuki ikukwamishe
Uaminifu ni zawadi ya thamani kubwa sana, Usiutarajie kupata kutoka kwa watu wa bei rahisi
📌📌Uaminifu ni zawadi ya thamani kubwa sana, Usiutarajie kupata kutoka kwa watu wa bei rahisi
Kama wazazi wako wanakutegemea wewe kamwe Usishindane na wale wanaowategemea wazazi wao. Usiigie maisha yao, wewe una mzigo mkubwa wa majukumu. Jenga maisha yako kwa akili, si kwa mashindano. Kipaumbele chako kiwe kuwainua wanaokutegemea, sio kushindana na watu

👍👍Baadhi ya watu hawakupendi kwa sababu nguvu zako zinawakumbusha udhaifu wao, Usiruhusu chuki ikukwamishe
Ishi kwa namna ambayo, ikiwa mtu atasema mabaya kuhusu wewe, hakuna atakayeyaamini.