myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SawasawaWaheshimu waliokaribu yako na walinde walioko nyuma yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawasawaWaheshimu waliokaribu yako na walinde walioko nyuma yako.
NAKUBALIUkikubali ukweli utakuweka huru, ila mwanzoni utakukera.
Nguvu ya UKWELINguvu ya kweli inaonekana kwa namna unavyowajali wengine
Sawasawa kabisa hiliMungu Anapotaka kukupa Ukuu kati ya watu huanza kwa kukutenga nao.
Malengo yako hayakufanyi uwe wa kipekee. Wengi wana malengo kama yako.Ni matendo na subira yako vinavyokutofautisha na wengine
Hili muhimu piaKuna wanaozaliwa bila thamani. Tabia na hulka zao pekee zinaweza kuwapandisha
Malengo yako hayakufanyi uwe wa kipekee. Wengi wana malengo kama yako.Ni matendo na subira yako vinavyokutofautisha na wengine
Kwenye changamoto, usikate tamaa. Jifunze, badili namna ya kutimiza lengo, kamwe usibadili lengo.Maisha hulipa wenye uvumilivu. Simama imara. Komaa
Ujasiri sio kutokuwepo kwa hofu, bali ni uwezo wa kusonga mbele licha ya hofu. Kila giza lina mwisho wake, na kila maumivu huzaa nguvu mpya
Ukitaka kuheshimiwa, heshimu wengine kwanza.
Unachotoa ndicho utakachorudishiwa
SawaUsikaribishe mtu na kumsalimia kwa kushikana mkono ukiwa umeketi.
Daima simama – hii ni ishara ya heshima na kujiamini.
SawaUsikaribishe mtu na kumsalimia kwa kushikana mkono ukiwa umeketi.
Daima simama – hii ni ishara ya heshima na kujiamini.
Ujasiri sio kutokuwepo kwa hofu, bali ni uwezo wa kusonga mbele licha ya hofu. Kila giza lina mwisho wake, na kila maumivu huzaa nguvu mpya
Usikaribishe mtu na kumsalimia kwa kushikana mkono ukiwa umeketi.
Daima simama – hii ni ishara ya heshima na kujiamini.
Maisha huchanua na kusinyaa kutokana na ujasiri wako