Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Heshimu jitihada za watu wengine, si kila kitu kinahusu chakula pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thamani yako haitokani na ubora wa mawazo na fikra zako pekee. Inajengwa kwa vitendo vinavyoambatana na fikra pevu na mawazo bora. Hata ukiona hauko tayari, fanya kile unachoweza leo. Ndondondo si chululu
Ni halali yakeThats good. Haya zima data ukampe kimoja cha kulala nachoView attachment 3249525arererereeeeeeee bi harusi tunayeeeeeeeeeeeeee
✅️✅️Heshimu jitihada za watu wengine, si kila kitu kinahusu chakula pekee
✅️✅️✅️Heshimu jitihada za watu wengine, si kila kitu kinahusu chakula pekee
SawaThamani yako haitokani na ubora wa mawazo na fikra zako pekee. Inajengwa kwa vitendo vinavyoambatana na fikra pevu na mawazo bora. Hata ukiona hauko tayari, fanya kile unachoweza leo. Ndondondo si chululu
👍👍Heshimu jitihada za watu wengine, si kila kitu kinahusu chakula pekee
Haswwaaaa!!!Bilauri la maji hubebwa na mikono mingi, na bado maji yake hubaki safi kunywa.
Lakini mikono ikichovywa ndani yake, maji hupoteza usafi na kuwa najis.
Hapa hatuongelei bilauri wala maji, mwenye busara ang’amue.
Maana, bidhaa ikipatikana kirahisi na thamani yake hushuka.
✅️✅️✅️Bila vitendo hakuna matokeo. Bila matokeo fikra na mawazo yako ni bure
Waheshimu waliokaribu yako na walinde walioko nyuma yako.
TujifunzeJifunze kupotezea.Usinune.Usiweke kinyongo.Usilaumu.Potezea tu. Linda moyo wako na amani yako kwa wivu mkubwa