myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ukitumia kitu cha mtu, kirudishe katika hali nzuri zaidi.
Hii inaonesha unathamini na kuheshimu mali za wengine
Nakubaliana na weweJifunze kuwa mkweli, sio mwenye fitina
Jifunze kuwa mkweli, sio mwenye fitina
Ni halali yake
Muonekano wako ni sehemu ya heshima yako.
Kamwe usile sehemu ya mwisho ya chakula ambacho hukununua.
Muonekano wako ni sehemu ya heshima yako.
Mahusiano bora hujengwa kwa usawa, si kwa kuomba au kulazimisha