Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama kuna mtu kakwambia, Flan njoo kesho nikulipe deni lako" Basi wewe usiende kukopa vitu kadhaa dukani au hata kumuahidi mtu mwingine kumpa pesa ambayo na wewe umeahidiwa. Ni kosa. Unaweza kuingia kwenye matatizo