moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ni kitu ambacho binadamu hata apate nyingi vipi pasipo kuwa na chanzo cha kuiongezea lazima ziishe kwa sababu matumizi ya pesa yapo katika kila nyanja,ukiwa na pesa za halali na ukaweza kudumu nazo basi utakuwa umekwepa mishale mingi sana.
Nunua Mali siyo Madeni, Hakikisha mara nyingi unanunua mali ambazo zitaweza kukuingizia pesa.
Yaweza kuwa aridh, hatifungani, kiwanda, hisa, mashind jengo ama biashara mali yoyote ambayo itakuwa inatengeneza pesa kipindi cha uhai wake

Yaweza kuwa ardhi, hatifungani, kiwanda, hisa, mashind jengo ama biashara mali yoyote ambayo itakuwa inatengeneza pesa kipindi cha uhai wake
Nunua Mali siyo Madeni, Hakikisha mara nyingi unanunua mali ambazo zitaweza kukuingizia pesa.
Yaweza kuwa aridh, hatifungani, kiwanda, hisa, mashind jengo ama biashara mali yoyote ambayo itakuwa inatengeneza pesa kipindi cha uhai wake
Pesa ni kitu ambacho binadamu hata apate nyingi vipi pasipo kuwa na chanzo cha kuiongezea lazima ziishe kwa sababu matumizi ya pesa yapo katika kila nyanja,ukiwa na pesa za halali na ukaweza kudumu nazo basi utakuwa umekwepa mishale mingi sana.
Kamwe usinunue mali inayoshuka thamani kwa mkopo, mali ambazo zinashuka thamani ni pamoja na gari ama kompyuta na mali zingine za hivyo.
Hapa ni maalum hasa kwa wale wenye biashara ndogo kwasababu mzunguko wa fedha (Financial Cashflow) unakuwa bado mdogo kulipa deni na riba yake, hiyo wanaweza biashara kubwa.
Usitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako. Wala usije ukamuahidi mtu kumpa pesa ambayo umehaidiwa mahali fulani
Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.
✅️✅️Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.
Kamwe usiwekeze pesa kwa hisia, Siku zote fanya maamuzi yako katika uwekezaji kwa kuzingatia sababu za msingi na siyo hisia.
Ieleweke kuwa utajiri ni tabia, usipojenga tabia ya kuishi kama tajiri kamwe hutaweza kutajirika.

Fuatilia matumizi yako, Waswahili wanasema mali bila daftari hupotea bila habari.
Hakikisha unafuatilia matumizi yako kwa wiki, mwezi ama kwa miezi mitatu utagundua ni wapi pesa zako zinakwenda. Epuka matumizi yasiyo ya lazima ama yasiyo ya kupangwa.
Fuatilia matumizi yako, Waswahili wanasema mali bila daftari hupotea bila habari.
Hakikisha unafuatilia matumizi yako kwa wiki, mwezi ama kwa miezi mitatu utagundua ni wapi pesa zako zinakwenda. Epuka matumizi yasiyo ya lazima ama yasiyo ya kupangwa.
Kamwe usinunue mali inayoshuka thamani kwa mkopo, mali ambazo zinashuka thamani ni pamoja na gari ama kompyuta na mali zingine za hivyo.
Hapa ni maalum hasa kwa wale wenye biashara ndogo kwasababu mzunguko wa fedha (Financial Cashflow) unakuwa bado mdogo kulipa deni na riba yake, hiyo wanaweza biashara kubwa.
SawaUsitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako. Wala usije ukamuahidi mtu kumpa pesa ambayo umehaidiwa mahali fulani