Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Epuka kutembea na pesa nyingi ambazo hata huna matumizi nazo wakati huo. Unaweza kujikuta unafanya matumizi ambayo hayakuwa kwenye ratiba sababu ya ushawishi wa pesa ya mfukoni. Ili kuepuka haya, tembea na pesa uliyopanga kuitumia katika safari yako. Pesa nyingine itunze mahali salama