Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Maisha yana siri sana anaekupa stori ya mafanikio yake sio uhalisia tuendelee kuishi kwa imani na kufanya vitu tunavyoamini kwenye maisha
✅️✅️Fanya Mema Kwa Siri, Kwani Malipo Yake Yana Lindwa Na Mwenyezi Mungu
Maisha yana siri sana anaekupa stori ya mafanikio yake sio uhalisia tuendelee kuishi kwa imani na kufanya vitu tunavyoamini kwenye maisha
Mafanikio Yanatokana Na uthabiti Na sio Bahati,Endelea hata Kama Ikiwa Ngumu,Juhudi ndogo Kila Siku Huunda Matokeo Makubwa Kwa Wakati
Hata kuchelewa ni baraka. Endelea kumwamini Mungu.