myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
FURSA
Usisubiri fursa itokee. Tengeneza fursa yako mwenyewe
Usisubiri fursa itokee. Tengeneza fursa yako mwenyewe
MuhimuUsifikiri watu ni wajinga mbona hawapambani kupata utajiri , watu wamejikubali jinsi walivyo ,wametosheka na kidogo wanachopata kikubwa wana amani na afya tele kwa sentensi moja wana utulivu wa kutosha
SawasawaUsisubiri fursa itokee. Tengeneza fursa yako mwenyewe
👍👍Usifikiri watu ni wajinga mbona hawapambani kupata utajiri , watu wamejikubali jinsi walivyo ,wametosheka na kidogo wanachopata kikubwa wana amani na afya tele kwa sentensi moja wana utulivu wa kutosha
📌📌📌Usifikiri watu ni wajinga mbona hawapambani kupata utajiri , watu wamejikubali jinsi walivyo ,wametosheka na kidogo wanachopata kikubwa wana amani na afya tele kwa sentensi moja wana utulivu wa kutosha
✔️✔️✔️Kwenye kila pesa unayo pata, kuna mbegu na kuna chakula. Mbegu kwa ajili ya kesho yako na chakula kwa ajili ya leo.
Kwenye kila pesa unayo pata, kuna mbegu na kuna chakula. Mbegu kwa ajili ya kesho yako na chakula kwa ajili ya leo.
NakubalianaUsifikiri watu ni wajinga mbona hawapambani kupata utajiri , watu wamejikubali jinsi walivyo ,wametosheka na kidogo wanachopata kikubwa wana amani na afya tele kwa sentensi moja wana utulivu wa kutosha
Usitarajie Chochote Kutoka Kwa Mtu Yeyote Hakuna Uhuru Mkubwa Maishani Kama Kuishi Bila Kumtegrmea Mtu
Jikubali acha kuinga maisha ya mwengine utakuja kuumia siku moja kuiga maisha
Jifunze kuwadanganya watu ambao kila siku huwa wanakuuliza kuhusu Maisha yako binafsi
SawwUsitarajie Chochote Kutoka Kwa Mtu Yeyote Hakuna Uhuru Mkubwa Maishani Kama Kuishi Bila Kumtegrmea Mtu
Jifunze kuwadanganya watu ambao kila siku huwa wanakuuliza kuhusu Maisha yako binafsi
✅️✅️✅️Jifunze kuwadanganya watu ambao kila siku huwa wanakuuliza kuhusu Maisha yako binafsi
Nakubaliana na weweUfundishe Moyo Wako Kukubali Maumivu Hata Kama Yanatoka Kwa Mtu Unayempenda Sana, Huku Ukiamini Kuwa Hakuna Kinachodumu Milele..
SawaUfundishe Moyo Wako Kukubali Maumivu Hata Kama Yanatoka Kwa Mtu Unayempenda Sana, Huku Ukiamini Kuwa Hakuna Kinachodumu Milele..
Kumtegemea MunguUsitarajie Chochote Kutoka Kwa Mtu Yeyote Hakuna Uhuru Mkubwa Maishani Kama Kuishi Bila Kumtegrmea Mtu
NAJIKUBALIJikubali acha kuinga maisha ya mwengine utakuja kuumia siku moja kuiga maisha
Juhudi zako zinafanya wakumbuke Udhaifu wao, Usiruhusu chuki zao zikukwamishe.
Sawasawausichague starehe kwenye umri wako wa mahangaiko , sababu itakupasa uhangaike kwenye umri wako wa starehe