Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mdomo umezika ndoto za watu Walio wengi sana, Jitahidi uwe msiri wa mambo yako
Maisha yana siri sana anaekupa stori ya mafanikio yake sio uhalisia tuendelee kuishi kwa imani na kufanya vitu tunavyoamini kwenye maisha
✅️✅️Fanya Mema Kwa Siri, Kwani Malipo Yake Yana Lindwa Na Mwenyezi Mungu
Maisha yana siri sana anaekupa stori ya mafanikio yake sio uhalisia tuendelee kuishi kwa imani na kufanya vitu tunavyoamini kwenye maisha
Mafanikio Yanatokana Na uthabiti Na sio Bahati,Endelea hata Kama Ikiwa Ngumu,Juhudi ndogo Kila Siku Huunda Matokeo Makubwa Kwa Wakati
Hata kuchelewa ni baraka. Endelea kumwamini Mungu.
Mafanikio Yanatokana Na uthabiti Na sio Bahati,Endelea hata Kama Ikiwa Ngumu,Juhudi ndogo Kila Siku Huunda Matokeo Makubwa Kwa Wakati
Chochote Kinachoumiza Na Kugharimu Amani Ya Moyo Wako Bhasi Hakistahili Kuwa Chako Jitahidi Kukiruhusu Kiende Zake Au Kitoe..
✅️✅️✅️Mchawi wa kwanza ni kinywa chako mwenyewe ukiwa hukitumii vizuri
✔️✔️Chochote Kinachoumiza Na Kugharimu Amani Ya Moyo Wako Bhasi Hakistahili Kuwa Chako Jitahidi Kukiruhusu Kiende Zake Au Kitoe..
📌📌Mchawi wa kwanza ni kinywa chako mwenyewe ukiwa hukitumii vizuri
✔️✔️✔️Mafanikio Yanatokana Na uthabiti Na sio Bahati,Endelea hata Kama Ikiwa Ngumu,Juhudi ndogo Kila Siku Huunda Matokeo Makubwa Kwa Wakati