myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Katika jambo lolote maishani mwako, usi ogope kukosea bali ogopa sana kurudia kosa na kukaa bila kujifunza kupitia makosa yako.
✅️✅️Katika jambo lolote maishani mwako, usi ogope kukosea bali ogopa sana kurudia kosa na kukaa bila kujifunza kupitia makosa yako.
📌📌📌Si kila kinacho kuvutia kwa macho kina kufaa, kuwa makini.
✔️✔️✔️Si kila kinacho kuvutia kwa macho kina kufaa, kuwa makini.
✅️✅️Kiburi kita kujengea ukuta mrefu, lakini kita kuacha peke yako ndani yake
Maisha yana siri sana anaekupa stori ya mafanikio yake sio uhalisia tuendelee kuishi kwa imani na kufanya vitu tunavyoamini kwenye maisha
Hata kuchelewa ni baraka. Endelea kumwamini Mungu.
✅️✅️✅️Chochote Kinachoumiza Na Kugharimu Amani Ya Moyo Wako Bhasi Hakistahili Kuwa Chako Jitahidi Kukiruhusu Kiende Zake Au Kitoe..
✔️✔️Hata kuchelewa ni baraka. Endelea kumwamini Mungu.
👍👍👍Chochote Kinachoumiza Na Kugharimu Amani Ya Moyo Wako Bhasi Hakistahili Kuwa Chako Jitahidi Kukiruhusu Kiende Zake Au Kitoe..
📌📌📌Chochote Kinachoumiza Na Kugharimu Amani Ya Moyo Wako Bhasi Hakistahili Kuwa Chako Jitahidi Kukiruhusu Kiende Zake Au Kitoe..
SawaMchawi wa kwanza ni kinywa chako mwenyewe ukiwa hukitumii vizuri
Mafanikio Yanatokana Na uthabiti Na sio Bahati,Endelea hata Kama Ikiwa Ngumu,Juhudi ndogo Kila Siku Huunda Matokeo Makubwa Kwa Wakati
👍👍👍Chochote Kinachoumiza Na Kugharimu Amani Ya Moyo Wako Bhasi Hakistahili Kuwa Chako Jitahidi Kukiruhusu Kiende Zake Au Kitoe..
✔️✔️✔️Mafanikio Yanatokana Na uthabiti Na sio Bahati,Endelea hata Kama Ikiwa Ngumu,Juhudi ndogo Kila Siku Huunda Matokeo Makubwa Kwa Wakati
✅️✅️✅️Mchawi wa kwanza ni kinywa chako mwenyewe ukiwa hukitumii vizuri
📌📌📌Mafanikio Yanatokana Na uthabiti Na sio Bahati,Endelea hata Kama Ikiwa Ngumu,Juhudi ndogo Kila Siku Huunda Matokeo Makubwa Kwa Wakati
✔️✔️✔️Mafanikio Yanatokana Na uthabiti Na sio Bahati,Endelea hata Kama Ikiwa Ngumu,Juhudi ndogo Kila Siku Huunda Matokeo Makubwa Kwa Wakati
✅️✅️✅️Mafanikio Yanatokana Na uthabiti Na sio Bahati,Endelea hata Kama Ikiwa Ngumu,Juhudi ndogo Kila Siku Huunda Matokeo Makubwa Kwa Wakati
📌📌Kwenye kila pesa unayo pata, kuna mbegu na kuna chakula. Mbegu kwa ajili ya kesho yako na chakula kwa ajili ya leo.
✔️✔️✔️Usisubiri fursa itokee. Tengeneza fursa yako mwenyewe