myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
....huchanua na kunyauka...Pesa ni maua, maana ya maua ni huchanua na kunyauka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....huchanua na kunyauka...Pesa ni maua, maana ya maua ni huchanua na kunyauka.
Pesa ni maua, maana ya maua ni huchanua na kunyauka.
..tofauti ni mudaKila mtu ana mchango katika maisha yako. Aidha kukujenga au kukubomoa, tofauti ni muda tu.
...usipoteze mudaWafanyie watu wema lakini usipoteze muda wako kudhihirisha wema wako.
👍👍Pesa ni maua, maana ya maua ni huchanua na kunyauka.
📌📌Wafanyie watu wema lakini usipoteze muda wako kudhihirisha wema wako.
...hauwi kikwazoKatika yote ufanyayo, hakikisha hauwi kikwazo kwenye maisha ya mtu mwingine
...utaelewaJifunze kusikiliza, utaelewa vizuri.
👍 👍Katika yote ufanyayo, hakikisha hauwi kikwazo kwenye maisha ya mtu mwingine
HELA, PESA...Hamna kitu kinaonesha tabia ya mtu kama "HELA"
...maarifa ✔️Hela inapatikana kwenye maarifa na sio elimu.
MUHIMU ni maarifa..Hela inapatikana kwenye maarifa na sio elimu.
✅✅Sio kila msaada ni wa kuupokea, misaada mingine ni mitego.
📌📌Hamna kitu kinaonesha tabia ya mtu kama "HELA"
SAWASAWA..Maisha ni Kama Kitendawili Wakati Mwingine Majibu yetu yapo Kwa wale tunao Wadharau
✔️ ✔️Ukiwa Na Roho Mbaya Furaha Za Wenzio Zitakutesa Sana.
✅✅Chuki ni kidonda cha moyo kisichotibika na dawa yoyote isipokuwa Upendo
✔️✔️Maisha ni fumbo nasi tunalifumbua, lakini kifo ni kitendawili kila mmoja wetu atakitegua.
✅✅Ukishinda vita vya kijinga unakuwa umeshinda kwenye ujinga