moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✔️✔️Ukishinda vita vya kijinga unakuwa umeshinda kwenye ujinga
Adui yako ni tabia zako mwenyewe
Chuki ni kidonda..Chuki ni kidonda cha moyo kisichotibika na dawa yoyote isipokuwa Upendo
✔️ ✔️Ni rahisi kuuondoa umasikini mfukoni kuliko kuundoa umasikini moyoni na akilin
👍👍Kushinda si lazima mwingine ashindwe, kupata si lazima mwingine akose, kufurahi si lazima mwingine aumie.Kila mmoja hupata kilicho Kadri yake
📌📌Ni rahisi kuuondoa umasikini mfukoni kuliko kuundoa umasikini moyoni na akilini.
KWELI...Hakuna zawadi nzuri kama upendo
✔️✔️Chuki ni kidonda cha moyo kisichotibika na dawa yoyote isipokuwa Upendo
✅✅Kushinda si lazima mwingine ashindwe, kupata si lazima mwingine akose, kufurahi si lazima mwingine aumie.Kila mmoja hupata kilicho Kadri yake
UKO SAWAKwenye maisha yako chochote usichokitaka kibadilishe lakini kile usichoweza kukibadilisha kikubali, maisha ni matokeo na sio tukio.
NAKUBALI.Tatizo haliondoki kwa kulikataa au kulificha. Tujifunze kuyakubali na kuyatatua matatizo yetu
KWELI KABISA..Takribani maji yanasafisha kila kitu, isipokuwa ulimi mchafu tu.
....ila sio WATUKuna vya kung’ang’ania ila sio WATU
Mafanikio ni mimi mwenyewe..Mafanikio hayatokani na shule au chuo ulichosoma
Mafanikio yanatokana na wewe mwenyewe