myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
π πNi rahisi watu kuona umebadilika au makosa yako, ila huwa hawaoni tabia zao ndizo zilizokufanya ubadilike
βοΈ βοΈUlimi wa kulalamika
hudhihirisha moyo usiona shukrani.
chuki ni mzigo mzitoHamna mzigo mzito kuubeba duniani kama chuki.