carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nikae kimyaYeyw kasema hamsifii mkewe anaogopa ataibiwa
Jukwaa hili ni la kupeana likes..posti chochote upate likes..Kuna watu wana hati miliki ya jukwaa lile, ukitoa thread wanajadiliana kwanza pm waijibu au wakae kimya, hata wakijibu basi kikao kwanza kimepita pm
Na kweli anaweza akawa kama chizi baada ya kuonaUtapofuka macho[emoji13][emoji13]
Kama kawa mwendo wa likesVp wadau
Post sent using JamiiForums mobile app
Akaja kunitangaza humu[emoji23] [emoji23]Na kweli anaweza akawa kama chizi baada ya kuona
Ameshika nini huyu mkuu
Upweke unamsumbua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi huyu[emoji276] [emoji276] [emoji276] yuko wap?au ndo ushamtengua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zitaletwa picha zako kama za Kim KadaAkaja kunitangaza humu[emoji23] [emoji23]
Weka kioo chini ya miguuNatamani nikuchungulie....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndio lengo la jukwaaPost chochote upate like toa like upate likes
Utakuta sasa hivi anajiita babe na kujiitikia[emoji23][emoji23]ila akija hapa ile mikwara ya jana cha mtoto[emoji23] [emoji23]Upweke unamsumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Zitaletwa picha zako kama za Kim Kada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ili aone nini?Weka kioo chini ya miguu
Hapana ni la siasa hilo lenye sifa hizoJukwaa hili ni la kupeana likes..posti chochote upate likes..
Kuna wanaligeuza...?!
Simsifii na bado mibaba ina shinda zizini kumrubuniYeyw kasema hamsifii mkewe anaogopa ataibiwa
Midume yenyewe miharibifu haswaSimsifii na bado mibaba ina shinda zizini kumrubuni
Hivyo hivyo,mbona Said wa Scorpion hana macho lakini kamuona mtoto wa Kiarabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utapofuka macho[emoji13][emoji13]
Kuna jamaa yangu leo kaenda petrol station kaweka mafuta alipo maliza mhudumu akamuambi "samahani usiondoke nikupe risiti"πππππ