Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1500057877216.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna dalili zooote,akatoka hapo akahudhuria ya sammyluv na Quigley, na akajikuta ni mlinzi kwenye sherehe ya shimba na Jakitoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu jeuri jamanii....

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu akaenda kwenye harusi ya uniq na babe S akitoka anaenda kucheza kwaito kwa GeJo hapo ndio atajua kua dunia duara[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hadi alichanganyikiwa akaanza kuimba pambio hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Akaenda kwa ISIS,kakutana nae mama wa watu ana post mipicha ya kutisha tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka sana.Kibiti na dada wa kichaga wapi na wapi kichwa??? Fweeeza mbele acha ngojera [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
andjul yupo na picha ya nsamaka huyu kachanganyikiwa na waganga alipoenda nyumbani kwake ni marue rue tu.

nsamaka yupo huku kapumzika hivi unadhani toka nianze kuuguza umesikia akilalamika.

Ila huyo jamaa anaetishia mgonjwa kumnywesha dawa kibabe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] andjul njoo uone hukuu
 
Kichwa ni askari aliyekomaa. Kuachwa achwa huku kumempatia uzoefu mkubwa sana. Nyie chezeni tu lakini mtakuja kushangaa Nsamaka anavuta hewa ya Kibiti [emoji23][emoji23][emoji23]
SHIMBA YA BUYENZE naleta ng'ombe hivi karibu nilisikia 10 ila mi nita square hao ngombe.

Nataka niongeze na ngamia maana wengine ni wakuombea msamaha mnipokee kijana wenu mpotevu.
 
Akaenda kwa ISIS,kakutana nae mama wa watu ana post mipicha ya kutisha tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka sana.Kibiti na dada wa kichaga wapi na wapi kichwa??? Fweeeza mbele acha ngojera [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]alikoma naona[emoji23] [emoji23] kumbe ndio mana kipindi kile alikua anabaki hapa [emoji23][emoji23]ila ISIS anajua kutukomesha na ile mipicha usiku[emoji23][emoji23][emoji23]lol
 
Back
Top Bottom