Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kichwa ni askari aliyekomaa. Kuachwa achwa huku kumempatia uzoefu mkubwa sana. Nyie chezeni tu lakini mtakuja kushangaa Nsamaka anavuta hewa ya Kibiti [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshangaa ujue!!!! Ujasiri anaupata wapi kujipambanua mbele ya sammyluv,carba,nsamaka??? Alimwagwa pwaaaaa[emoji602] [emoji602]