Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
ho chi minh mkaribishe huyu rafiki yetu anaehamia hapi kwako hivi karibuHodiiiiii
ho chi minh mkaribishe huyu rafiki yetu anaehamia hapi kwako hivi karibuHodiiiiii
Hahaha kaka nae si atulie tu khaaaAndjul kanishitaki kwa kakako SHIMBA WA BUYENZE na ndugu yako carb, wananisakama kuwa nataka kumpora mke
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Nadhani nawe unacho, lete tukisome kimyakimya[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona wewe ni mwalimu ndo mana unajua[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu ngoja ninawe uso kwa maji ya baridi ili nisome vizuri hii uliyoandika.
Mkuu ndo maana umesema uko mwembamba sana. Kama chakula chenyewe ndo hiki. Utafikiri cha mwanaume wa Dar? Mwili haujengwi kwa tofali ati! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weekend starts...
![]()
Karibu sana mkuuHabari za humu ndani. Niliwamiss sana
Kijana toka Tudor, mambo vipiMwenye nyumba upoooooo
With so many natural resources but....TANZANIA is blessed
Asante sana captain kwa usalama huuNdio maana nimeuchuna isje ikawa tabu hapa ndani
OK, safi sana changamkieni fursa hiyoTanga tupo busy na bomba letu la mafuta ndio maana hatuonekani.
No buts! Believe me! Have faith be positive!With so many natural resources but....
HahahahahaNadhani nawe unacho, lete tukisome kimyakimya
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] Kichwa Kichafu na andjul naomba mseme mlichokiona hapaCarba, tuwaite tena Andjul na Kichwa waseme wanaona nini katika picha hii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi umekusudia au laaa?[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Andjul ndo alileta kesi. Ulitaka wanafamilia tusimsikilize?Hahaha kaka nae si atulie tu khaaa
Hahaaaa kweli ukiwa na mtoto mkali ni shidaho chi minh mkaribishe huyu rafiki yetu anaehamia hapi kwako hivi karibu