ONTARIO
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 1,792
- 17,191
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji165][emoji165][emoji165]hiyo chukua
Kile ni kitabu cha wahenga jamani[emoji23][emoji23]acha kunilisha maneno
Heshima kwako pia kakaHeshima kwenu wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Taratibu nadhani unahitaji A to Z ya uzi huu.
Karibuni sana tuishi kwa amani,Mtoto akisha ota meno halali na baba na mama yake
ho chi minh saivi yupo busy kwa mafundi nguo anataka kubana macoat ya kikoloni na bwanga za suruali kuwa modal.Nimesahau hebu muulize mchina hapo [emoji38][emoji38]
Anataka kuwa kama wanaume wa dar?ho chi minh saivi yupo busy kwa mafundi nguo anataka kubana macoat ya kikoloni na bwanga za suruali kuwa modal.
Anataka kwenda na wakati