Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitabu kile chenye kurasa 2 pekee na ambacho wasomaji wake ni wakaka na wababa na ambacho husomewa ndani ya zile kuta 4, na ingawa vitabu ni vingi kila mahali, lakini akipatapo mwenye kukipata hatoruhusu hata jirani akisome. Kwamba kila mmoja asome cha kwake.ingawa wapo ambao husoma vitabu vya wengine kiwizi wizi. Nadhani umenielewa

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona wewe ni mwalimu ndo mana unajua[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom