Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Wahi kabisa nisije kusahau[emoji23] [emoji23]Nakuja acha nimpitie andjul[emoji23][emoji23][emoji23]
Si nanii hiyo hebu leta miwani yako niifute vumbi nikuvishe kabisa uone hiyo nanii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeona nini?[emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio nickname yake ni Taaa?Taaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa ila haya macho![]()
HAKUNA MTOTO HAPO
16:2515:59
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hebu nikumbushe jina lakeNini[emoji23][emoji23][emoji23]
Kitabu kile chenye kurasa 2 pekee na ambacho wasomaji wake ni wakaka na wababa na ambacho husomewa ndani ya zile kuta 4, na ingawa vitabu ni vingi kila mahali, lakini akipatapo mwenye kukipata hatoruhusu hata jirani akisome. Kwamba kila mmoja asome cha kwake.ingawa wapo ambao husoma vitabu vya wengine kiwizi wizi. Nadhani umenielewaUfafanuzi puliiziii[emoji23][emoji23][emoji23]