Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia nitafutie fundi wa kupunguza makoti nataka yawe yababana kama ya vijana,
Pia suruali nahitaji zipunguzwe ziwe nyembamba sana!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mzee mwenzangu unataka upunguze hayo makoti yenye mpasuo nyuma kuwa modal.
Hayo makoti tunayaita kajamb* nani.


Mi nilichoma moto nimebakiza moja la kuzamia vikao vya harusi na harusi mzee mwenzangu.
 
Back
Top Bottom