Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee mwenzangu unataka upunguze hayo makoti yenye mpasuo nyuma kuwa modal.
Hayo makoti tunayaita kajamb* nani.


Mi nilichoma moto nimebakiza moja la kuzamia vikao vya harusi na harusi mzee mwenzangu.
Uchumi mbovu hayo hayo yatapunguzwa nitaonekana kidogo naenda na wakati,
Tatizo ni hiki kipara

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom