carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nini[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona naniii
Nini[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona naniii
Naumwa jamani,nikipona ntajibu tuhuma zote hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] nsamaka alikuja kukukana hapa lol!
Mzigo upi sheikh wangu?!Mkuu uwe na maisha marefu, asante sana kwa ule mzigo, Mungu akubariki sana
Hata wavulana/wanaume wenye mioyo ya uvumilivu, miaka 8 uchumba!!!?Kuna wadada wana mioyo ya uvumilivu
Captain[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Pole unaendeleaje mgonjwa?Naumwa jamani,nikipona ntajibu tuhuma zote hahaha
KweliZimwi likujualo, halikuli likakuisha.
Yupo mwanachama wetu hapa, ndani 24hrs hajaonekanaKuna mtu anaitwa Kibumbu????[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hapo tutaenda sawa mhenga,Nimejisahau muhenga hamna aliyesikia mzee mwenzangu
Kuna fununu wamebaki wachache dunia?Kuna wadada wana mioyo ya uvumilivu
Mkuu nimeongea kikubwa, ni ile hamasa ulotoaMzigo upi sheikh wangu?!
Mbona kigugumizi mzee mwenzanguIkwiriri huuuukuuu...niiii.. salaaama ka..ka.kakak...kabisa.
Ka..kaa..riibuu mhenga
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app