Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,187
Pata like kwanzaOfcooooooooooourse [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Pata like kwanzaOfcooooooooooourse [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Tupo miss nimekumiss hadi neno miss kwenye herufi "m" imekuwa "k"Nimewamiss mpo
CoolTanga tupo busy na bomba letu la mafuta ndio maana hatuonekani.
Ndio maana nimeuchuna isje ikawa tabu hapa ndaniHahaha inabidi tuuache chini ya kapeti aisee shilawadu wakiudukua sitakaa kwa amani
Natafuta mtu anisaidie kusoma hiyo namba
Mwaka mmoja na nusu hakuna ndoa chapa lapa uchumba sugu sitaki[emoji57][emoji57]We unataka uchumba miaka mingapi?
[emoji23][emoji23][emoji23]ho chi minh kumbe carbamazepine hajanisahau maana hii tulipiga enzi za ujana wetu.
ho chi minh enzi hizo alikuwa anafahamika kijana mtanashati
Jaman babe SWazima pia!!!....