Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sina uhakika kama nsamaka atapona mapema,yeye ni bingwa wa kulikoroga,sasa nijaribu kulikoroga mimi mimacho kodooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] tchaaaa
[emoji116][emoji116]kwa mwendo huu pole sana...mijibaba mizengeaji ipo kila kona[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We achana nao, ng'ombe wameshateuliwa fanya uje uwachukue, haiwezekani uwe unavunja amri kumi. Njoo nikupe ndoa ufurahie maisha

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Shemeji, ngonjera na gospo kipi kinabamba zaidi katika kusuuza roho ya upweke?
Gospo ilinifariji sana,uliweza kunionea huruma,dadaako akarudi kwa upendo.Kichwa ngonjera zinamchanya maana anajitutumua wakati hana hata zizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Lala mama,nisije kunywesha piriton bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
carbamazepine nimekwambia huyu mahirizi anayovaa shingoni na mandunguli ndunguli yanamchanganya.

Hapa anaongea na picha ya nsamaka anaitishia kuinywesha piriton.


Wakati huku nsamaka nimemmbeleza kalala tuli.

Huyu mandungulia yanaenda kumpoteza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom