Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya baki hivyo hivyo tu siku utakapo ona nimenyonga tai mbele ya mchungaji wangu ndio akili itawakaa vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inawezekana ukanyonga tai halafu ukaenda kusimamia harusi ya andjul na nsamaka tena au ukaja kwenye harusi yangu na Cole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ohooooo....sasa hii dharau.Kwa hiyo huyu nilietoka kumpa dawa sasa hivi ni jini sio????

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
We umeipa dawa picha ya nsamaka maana hayo ni mawenge ukiachwa pole sana mkuu kwa kuchanganyikiwa hadi picha ya nsamaka unanywesha dawa.
Mtoto kalala hapa baada ya vuvuzela na matarumbeta tenu kwisha.

Nimemnywesha maji katulia nimemvunika hapa.


Si unajua nsamaka akilala sura yake ya utoto yote inarudi
 
Haya daktari sijui utatibu wangap?ila anza na yule dada wa parables[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Denti yule sidhani kama atamuweza. Alikuwa anamsemesha binti kazama kwenye parablez tu. Ni mpenzi sana wa falsafa may be ajaribu kuingia kwa njia hiyo. Akitaka crush course ya Falsafa aseme na vitabu vya Beginners soft copy vipo!
 
We umeipa dawa picha ya nsamaka maana hayo ni mawenge ukiachwa pole sana mkuu kwa kuchanganyikiwa hadi picha ya nsamaka unanywesha dawa.
Mtoto kalala hapa baada ya vuvuzela na matarumbeta tenu kwisha.

Nimemnywesha maji katulia nimemvunika hapa.


Si unajua nsamaka akilala sura yake ya utoto yote inarudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tambo hizi utakua unamiliki mali ya kichina
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] Sumbawanga na hapa nilipo petrol ni lita 20 tu ni ya kwenda na kurudi,nakipoteza hicho kiungo.Sipendagi ujinga
We nenda tu nsamaka kabla ya kulala tuna ibada ya usiku kuanzia saa 9:30 usiku kila siku.
Acha tu we nenda tu huko.

Mzee wq mandunguli mandunguli tu sura yako imeanza kufanana na waganga uliopitia huko[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom