carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hapo pia nimepapenda nitafutie kiwanja
Nazima taa kwa Cole pekeake[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tunaonana tu zima taa
Vuvuzela zenu na andjul zimemuamsha[emoji23] [emoji23] [emoji23] mgonjwa hujalala tu?
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Unamjua vizuri wanafunzi waliovunja miwa yangu yote wanajulikana kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umechelewa pamejaaHapo pia nimepapenda nitafutie kiwanja
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Vuvuzela zenu na andjul zimemuamsha
Naona ananichokoza kwa style ya kutupa jiwe juu ya bati ili ajue nani atatoka kuangaliaUnajitahidi kweli[emoji23] [emoji23]
Eeeh, nafanya follow up kimyakimya[emoji23] [emoji23] [emoji23] mgonjwa hujalala tu?
Dr love nimerudi upya kabisa kutibu watoto wazuri wanaoumizwa na mapenzi.Unajua kujifariji[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu mkuu21:14 Nimerudi wadau wangu baada kuondoka kimyakimya
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Haya baki hivyo hivyo tu siku utakapo ona nimenyonga tai mbele ya mchungaji wangu ndio akili itawakaa vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] uyo nsamaka atakua wa kichina [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] Sumbawanga na hapa nilipo petrol ni lita 20 tu ni ya kwenda na kurudi,nakipoteza hicho kiungo.Sipendagi ujingaNdo unataka kurudia mazizi yaliyokushinda??[emoji23] [emoji23] [emoji23] andjul mtengue huyu kijana kile kiungo[emoji125] [emoji125] [emoji125]