carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daaahho chi minh angalia huyu jamaa anatishia kuchoma nyumba kwa kuimwagia maji ya moto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daaahho chi minh angalia huyu jamaa anatishia kuchoma nyumba kwa kuimwagia maji ya moto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona na udaktari wako wa mapenzi lakini relationship status inasoma f[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamna mkuu huwa naumia sana nikiona chozi la mtoto mzuri kisa mapenzi wakati Dr. Love nipo
Kula like hiyoAhsante sana!
Tulia daktari nimtibu mtoto mzuri we kila siku unamuundia zengwe tu ili umuache.Angalia sana kijana,mtu mzima akishtuka kuwa anaibiwa,kinachofuata ni maafa....
Hahaha dah, basi nimefuta yale maneno mengineUngeishia "amina" basi.
Pole pole tunasongaDuh uzi unakimbia huu
Naipenda JF
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vita hivi haviangalii nani kakupa silaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo ni maneno ya mkosaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] sammyluv mbona alikushinda?na mimi nikahamia kwa Cole?ooopsss sorry[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tulia wewe Dr. Love nitibu mtoto mzuri anaelia kisa mapenzi
Watoto wazuri wanaitaji kupetiwa petiwa ngoja nianze operation
Usihofu mama hofu yangu kwa sasa ni wewe tu.Amina, asante sana
Njema kiongoziHabari?
Yani kama wewe vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] lolho chi minh angalia huyu mfa maji akosi kutapa tapa[emoji106] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hana jipya,nsamaka analala sasa hivi tuna baki mimi na wewe.Hana uwezo wa kutugombanisha,muhimu Cole ananiamini basi....[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona unataka kunigombanisha lakini na andjul??
Pumzika mama uchovu naona kabisaJamani nimecheka wapi? Hahaha
Kama zile zako na ho chi minh[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ile vita iliishiaga wapHuyo mbwembwe tu
Nzuri bossKwema kabisq mkuu.
Habari za huko boss?
Mapinduzi nilienda somalia kuchukua master ya love nilivyo achwa hivi karibuni si uliona kimya.Naona na udaktari wako wa mapenzi lakini relationship status inasoma f[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dr whaaat??Acha Dr Love niwatibu watoto wazuri inaniuma sana nikiona chozi shavuni kwa mtoto mzuri kisa mapenzi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fa fa fa faNaona na udaktari wako wa mapenzi lakini relationship status inasoma f[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana nimeamua kwenda kuchukua somalia haya maarifa niliambiwa nini nilikosea[emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo ni maneno ya mkosaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] sammyluv mbona alikushinda?na mimi nikahamia kwa Cole?ooopsss sorry[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]umenikumbusha enzi za ......Na hiyo ndio changamoto niipatayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana wana bembeleza hadi chozi linawatoka.