carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Jitahidi tuNibembeleze kupata pesa,na nyumbani nako nimbembeleze kuzitumia? Kweli mwanaume ni kiumbe cha taabu sana.Basi,nitajitahidi
Jitahidi tuNibembeleze kupata pesa,na nyumbani nako nimbembeleze kuzitumia? Kweli mwanaume ni kiumbe cha taabu sana.Basi,nitajitahidi
[emoji122][emoji122][emoji122]Mie sina maneno hata ukiweka pilipili machoni ni mkimya tu ndo maana nimewaomba tuwe pamoja ili wasihangaike.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchina inaonekana una siri nzito ya babe SHawatapata matatizo yoyote,
Nawahakikishia usalama wa kutosha.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] usipombembeleza atabembelezwa nje[emoji106] [emoji106] [emoji106] kula likeNibembeleze kupata pesa,na nyumbani nako nimbembeleze kuzitumia? Kweli mwanaume ni kiumbe cha taabu sana.Basi,nitajitahidi
Naona kuna kampeni chafu dhidi yangu,nafikiri chanzo ni nsamaka,kila siku andjul kafanya hiki mara kile, nimefikiria sana,nimeona nichukue maamuzi japo ni magumu na yatawakwaza watu.Kuanzia leo nasema "nsamaka nakupenda sana na sipo tayari kukuacha"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawakomesha.
We mpake mafuta kwa mgongo wa chupa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huo mkomesho ni mzuri sana
Teh teh we kila sehemu unataka kunikamataUkipata hilo shamba la miwa niite nione unavyovuna [emoji23][emoji23][emoji23]
ho chi minh angalia huyu jamaa anatishia kuchoma nyumba kwa kuimwagia maji ya moto[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajuaje kama siingii gharama?Una muuguza wewe? Wee mzee vipi!!! Hebu kaendelee kuimba pambio huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upweke mbaaayaaaa unarukia hata pasipo rukiwa [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji375]
Hamna mkuu huwa naumia sana nikiona chozi la mtoto mzuri kisa mapenzi wakati Dr. Love nipoMmenionea sana nyie vijana....Zizi langu limekuwa la kujifunzia ukware[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Salama bossSalama wakuu
Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
Mkuu macho yako wakati mwingine hukufanya usiaminike sana.Teh teh we kila sehemu unataka kunikamata
Vita hivi haviangalii nani kakupa silaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mabomu?tochi?nyundo pia??ngoja nikiazime zangu
[emoji7][emoji14][emoji12][emoji13][emoji39][emoji10][emoji11][emoji8][emoji9][emoji105][emoji182][emoji173][emoji170][emoji172][emoji169][emoji171][emoji176][emoji177][emoji178][emoji175][emoji180][emoji307][emoji179][emoji738]chukua hizo tafuta pa kuzitumia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tupo pamoja mkuuMimi bado nipo lockup, endeleeni kujazana bila kusahau kunijaza na mimi
[emoji106] [emoji106]Think positive
Tulia wewe Dr. Love nitibu mtoto mzuri anaelia kisa mapenziHuo ulimi utarudi tu,tena bila hiari[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nitafanya kila niliwezalo niipoteze hiyo naniu yako inayo kufanya ukose usingizi kufikiria nanihiii za wakubwa zako