Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-07-14-18-31-45.png
 
Wanakuonea eeh?
Naona kuna kampeni chafu dhidi yangu,nafikiri chanzo ni nsamaka,kila siku andjul kafanya hiki mara kile, nimefikiria sana,nimeona nichukue maamuzi japo ni magumu na yatawakwaza watu.Kuanzia leo nasema "nsamaka nakupenda sana na sipo tayari kukuacha"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawakomesha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huo mkomesho ni mzuri sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muonekano wa keyboard yangu baada ya kuachwa.

[emoji125] [emoji124] [emoji23] [emoji39] [emoji116] [emoji102] [emoji122] [emoji106] [emoji818] [emoji117] [emoji375] [emoji115] [emoji12] [emoji777] [emoji48] [emoji380] [emoji378] [emoji379] [emoji363]

Hizo ndio recently used.

Vi kopa kopa vyote vimepotea.

Na hizo za kukimbia nahisi ulimi umefikq magotini
 
Sio unyemelezi huyu hayupo serious .
Ataki kutoa matunzo kwa mtoto mzuri.
Anadhani tunapenda kila siku emoji zetu za kukimbia kimbia na kucheka hazibadili zaidi ya hapo.

Zinakimbia hadi zimetoa ulimi maana hazipumziki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu ngoja sisi tuliokifungoni tuchukue mtoto ajue hali ya huku vipi
Unajuaje kama siingii gharama?Una muuguza wewe? Wee mzee vipi!!! Hebu kaendelee kuimba pambio huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upweke mbaaayaaaa unarukia hata pasipo rukiwa [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji375]
 
Back
Top Bottom