Aisee basi agiza naja kulipa[emoji6][emoji6]Hata bapa natumia,ugonjwa wangu hauna masharti sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba umwambie nsamaka ajiandae nimbebe mgongoni naona amechoka sana.Naona kila mtu anamjibu hata yasiyo takiwa,lakini si mngemuacha apumzike!!!
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Nawaangalia tu.Nimejaribiwa vya kutosha.....Andjul!
Jibaba nyemelezi mawindoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....ooopsss andjul mgonjwa ujue??
Wanakuonea eeh?Jamani!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] tapeli tena?
Mazizi yooote yamejengwa kwa machuma chuma,ila zizi langu limejengwa kwa mashina ya mchicha hata panya analiangusha......[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]Andjul sijuii bado nsamaka unampikia au zizi limevunjwa???