Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jibaba nyemelezi mawindoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....ooopsss andjul mgonjwa ujue??
Sio unyemelezi huyu hayupo serious .
Ataki kutoa matunzo kwa mtoto mzuri.
Anadhani tunapenda kila siku emoji zetu za kukimbia kimbia na kucheka hazibadili zaidi ya hapo.

Zinakimbia hadi zimetoa ulimi maana hazipumziki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu ngoja sisi tuliokifungoni tuchukue mtoto ajue hali ya huku vipi
 
Hahaaaa kweli ukiwa na mtoto mkali ni shida
5285018e2df37322cf5268ecf0d555be.jpg

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Sio unyemelezi huyu hayupo serious .
Ataki kutoa matunzo kwa mtoto mzuri.
Anadhani tunapenda kila siku emoji zetu za kukimbia kimbia na kucheka hazibadili zaidi ya hapo.

Zinakimbia hadi zimetoa ulimi maana hazipumziki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu ngoja sisi tuliokifungoni tuchukue mtoto ajue hali ya huku vipi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeh
 
Mkuu ndo maana umesema uko mwembamba sana. Kama chakula chenyewe ndo hiki. Utafikiri cha mwanaume wa Dar? Mwili haujengwi kwa tofali ati! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss mimi ni mwanaume wa Dar damu damu, yani 100 zima. Nimezaliwa ilala pale, na kitovu kikatupwa baharini. Thin but healthy.
 
Mazizi yooote yamejengwa kwa machuma chuma,ila zizi langu limejengwa kwa mashina ya mchicha hata panya analiangusha......[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom