cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Hasira utumwa.
Hahahaha.....nimefika sasa....ila nakuja polepole..Nilisubiri hadi basi likawa boda boda
Unalipiza sio?[emoji23] [emoji23]Hahahahaha andjul
Miwa yangu yote na ilikuwa mingi ilivunjwa na wanafunzi nami inanibidi niwe mwanafunzi aiseeeh.
Hapana,wewe ndo ulikua unachezea sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] tumechezeana,kwani wewe ulikuwa huchezei???
Pole pole ndio mwendoHahahaha.....nimefika sasa....ila nakuja polepole..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sina namna unadhani nitafanyaje.
Ngoja nitumie emiji zangu. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weee mzee jiangalie sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najitolea kuuguza wagonjwa niko field ya uuguzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesemaaa??
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app