Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona kuna kampeni chafu dhidi yangu,nafikiri chanzo ni nsamaka,kila siku andjul kafanya hiki mara kile, nimefikiria sana,nimeona nichukue maamuzi japo ni magumu na yatawakwaza watu.Kuanzia leo nasema "nsamaka nakupenda sana na sipo tayari kukuacha"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawakomesha.
"Lu lu lu lu" vigelegele..........
 
Amen.Kuna minyapu nyapu hapa kazi yao kuharibu mazizi ya watu.Na wewe muambie uniq amelima miwa eneo la shule.....Asipende kukisifia sifia hovyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usimuogopeshe Uniq,
Hawa ni watu wazuri sana,
Ndo maana nahitaji tuishi pamoja kwenye nyumba yenye uzio.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Amen.Kuna minyapu nyapu hapa kazi yao kuharibu mazizi ya watu.Na wewe muambie uniq amelima miwa eneo la shule.....Asipende kukisifia sifia hovyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawatapata matatizo yoyote,
Nawahakikishia usalama wa kutosha.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom